Taxi
Huwezi kusikiliza tena

Sheria kali za teksi zapendekezwa Nairobi

Madereva wa teksi katika jiji la Nairobi huenda wakakabiliwa na faini ya hadi dola za Marekani 300 iwapo watakapitana na hatia ya kuwa wachafu au kucheza muziki wa juu karibuni.

Hii ni iwapo mswada uliowasilishwa katika bunge la serikali ya jiji hilo utapitishwa na kuwa sheria.

Mwandishi wa BBC Abdinoor Aden anaripoti.