Mobutu
Huwezi kusikiliza tena

Msanii anayemwigiza Mobutu Seseseko

Nchini ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baadhi ya wasanii wamejitolea kuigiza viongozi wao kwa kuongea, kutembea na hata kwa mavazi.

Msanii mmoja aliyejipatia umaarufu miongoni mwao ni Samuel Wedi Onya anayemwigiza hayati Mobutu Seseseko aliyekuwa rais wa nchi hiyo.

Alizungumza na Mbelechi Msoshi mjini Kinshasa.