Huwezi kusikiliza tena

Vijana wapewa kipaumbele kuajiriwa DRC

Zaidi ya vijana 300 waliomaliza elimu ya Chuo Kikuu, Jamhuri ya Kidemokrai ya Congo wameanza rasmi ajira za umma.

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo, imeanza kuchukua hatua kuwa ajiri vijana katika kazi za umma kutoka katika majimbo mbalimbali nchini humo.

kwa mujibu wa Wizara ya Kazi, ni wakati muafaka wa kutoa nafasi kwa vijana ili kazi za umma ziwe na mwenendo mpya na kupambana zaidi na rushwa.

Sikiliza ripoti ya Mbelechi Msochi kutoka Kinshasa