Chakula
Huwezi kusikiliza tena

Ni busara kutumia fedha nyingi kwa sikukuu?

Familia nyingi huwa hazijiandai kwa sikukuu za mwisho wa mwaka tangu mwanzo wa mwaka.

Matokeo yake ni kufanya maandalizi ya dakika za mwisho na kuishia kutumia fedha nyingi.

Je, ni busara kutumia fedha nyingi bila kujiandaa wakati wa sikukuu?