Aliykuwa mkewe Kony azungumza
Huwezi kusikiliza tena

Aliyekuwa mke wa Kony azungumza

BBC imemuhoji mmoja wa wake wa zamani wa Joseph Kony kuhusu namna alivyotekwa, maisha chini ya utawala wa Kony na namna alivyompoteza mwanaye , pamoja na alivyotoroka wakati wa ghasia za watu waliokua wakijiunga na vita nchini Sudan.

Amezungumzia pia kuhusu namna watoto wake walivyotambua kuwa ni wanawe Kony na changamoto wanazokutana nazo.

Hayo ndiyo aliyoyasema.