Huwezi kusikiliza tena

Watoto 40,000 wanafanya kazi migodini DRC

Shirika la kutetea haki za binaadam , Amnesty International leo itatoa ripoti mpya ya kulaani ajira kwa watoto na ukiukwaji wa haki za binadamu katika migodi ya kobalti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

DRC ni nchi ya kwanza duniani kuwa na madini haya yanayotengeneza simu za aina ya stmaphone na gari za umeme.

Ripoti itatolewa siku moja kabla ya mkutano mkubwa wa uchumi utakayo fanyika mjini DAVOS nchini Uswisi .

Serikali ya Congo imekosoa ripoti ya Amnesty International ikidai kuanza kampeni dhidi ya kobalt ya inchi hiyo na kuzuia kongo kuuza bidhaa hio.

Mbelechi Msoshi toka Kinshasa anasimulia