Fabienne Dervain
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke mwenye mgahawa maalum Ivory Coast

Fabienne Dervain ni mwanamke mjasiriamali ambaye anamiliki mgahawa nchini Ivory Coast.

Yeye ni mfano bora kwa wanawake wengine kwa sababu alianzisha biashara hiyo peke yake na kuisimamia hadi akafaulu.