Nyoka
Huwezi kusikiliza tena

Nyoka watumiwa kuunda dawa ya kuua sumu

Dawa ya kuua sumu ya nyoka itengenezwayo kutoka kwa sumu ya nyoka, yaani anti-venom, ndiyo tiba bora pekee ya kuumwa na nyoka.

Lakini dawa hiyo haipatikani kwa urahisi.

Ferdinand Omondi alizuru shamba la Bio-Ken Snake Farm, eneo la Watamu, Pwani ya Kenya, wanapofugwa nyoka ambao hutolewa sumu inayotumika kutengeneza dawa hiyo kupata maelezo zaidi.

Alizungumza na naibu meneja Boniface Momanyi.