Wasichana
Huwezi kusikiliza tena

Wasichana wapimwa ubikira Afrika Kusini

Wakuu wa mkoa wa Kwa Zulu Natal nchini Afrika Kusini wameanzisha mfumo wenye utata wa kutoa elimu bila malipo kwa wasichana ambao bado ni mabikira pekee.

Mpango huo unalenga kupunguza maambukizi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi pamoja na mimba za mapema miongoni mwa wasichana.

Omar Mutasa Kutoka Johannesburg anaarifu.