Zika
Huwezi kusikiliza tena

Uhusiano wa virusi vya Zika na Uganda

Virusi vya Zika, ambavyo vinaenezwa na mbu, viligunduliwa mara ya kwanza nchini Uganda mwaka 1947 kwenye kima mmoja katika msitu wa Zika.

Neno Zika, maana yake ni ‘kichaka’. Kwa mujibu wa taasisi ya utafiti wa wadudu Uganda ina aina mbu zaidi ya 220.

Mwandishi wetu Siraj Kalyango ametembelea taasisi hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.