Mayanja
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke anayefaidi kutokana na udobi Uganda

Mfululizo wa Wanawake wa Afrika unaendelea. Katika mfululizo huu wa wafanayabashara wapya wanawake, tunaungana na wanawake kadhaa waliojiimarisha wenyewe, tungaane naye Jamila Mayanja akiwa mjini Kampala ambaye ana biashara ya kuwafulia watu nguo.