Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mchezaji kamari auawa na umma Kenya

Raia wa Tanzania ameuawa na umati mjini Nairobi baada yake kuwashambulia na kuwaua watu wawili katika kasino.

Abdi Roba, mwenyekiti wa muungano wa wakazi wa mtaa wa Eastleigh, alizungumza na mwandishi wa BBC kuhusu kisa hicho.