Nzioka
Huwezi kusikiliza tena

Mbona wahudumu wa teksi wanapinga Uber?

Wahudumu wa teksi za kawaida Kenya wamekuwa wakipinga huduma za teksi za kisasa za Uber. Lakini je, nini sababu yao ya kupinga huduma hii? Katibu Mtendaji wa Chama cha Wahudumu wa Teksi Kenya Bw Job Nzioka anafafanua.