Uchaguzi
Huwezi kusikiliza tena

Hofu ya wakimbizi kuhusu uchaguzi Uganda

Uchaguzi mkuu unapokaribia nchini Uganda, baadhi ya wanaoufuatilia kwa karibu ni wakimbizi kutoka nchi jirani wanaoishi humo. Baadhi wana wasiwasi kwamba huenda hali ikabadilika baada ya uchaguzi.

Mwandishi wetu Isaac Mumena alitembelea mojawapo ya kambi za wakimbizi magharibi mwa Uganda na kukutana na wakimbizi mbalimbali ambao walitoa kauli yao kuhusu kampeni zinavyoendelea pamoja na uchaguzi mkuu ujao.