Mutumba
Huwezi kusikiliza tena

Waislamu wapinga Idi Amin kurejeshwa Uganda

Viongozi wa Kiislamu nchini Uganda wamepinga wazo la mgombea urais Amama Mbabazi la kutaka kurejesha maiti ya Idi Amin Uganda.

Viongozi hao wamesema hatua ya Bw Amin kuzikwa Mecca ni hadhi kubwa katika Uislamu.