Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Wahudumu wa bodaboda na kampeni Uganda

Waendeshaji pikipiki za kubeba abiria, maarufu kama bodaboda, wamekuwa wakishirikishwa sana katika kampeni za ucahguzi nchini Uganda na hasa kwenye misafara.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus alizungumza na baadhi yao.