Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Maoni ya raia wa Uganda ng’ambo kuhusu uchaguzi

Maelfu ya raia wa nchi hiyo wanaoishi nje ya nchi, wamekuwa wakiendesha shughuli mbalimbali za kuisaidia nchi yao, hasa kwa kutuma pesa nyumbani.

Lakini je, wana sauti katika kuamua yatakayofanyika nchini Uganda. Zuhura Yunus alizungumza alikutana nao jijini London, kabla ya kuelekea Kampala.