Pandora
Huwezi kusikiliza tena

Hodge, mjasiriamali anayekuza sanaa Liberia

Pandora Hodge ni mjasiriamali kutoka Liberia anayesimamia shirika lisilo la kiserikali la Kriterion.

Lengo la shirika hilo ni kuwa na chumba cha sinema na maonesho ya sanaa Monrovia ambacho kitasimamiwa kabisa na wanafunzi wa chuo kikuu.