Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Mabango ya kampeni uchaguzini Uganda

Kampeni za uchaguzi mkuu zinapoendelea Uganda, kila mgombea anajaribu kujinadi kupitia mabango.

Maeneo mengi utapata mabango ya mgombea wa chama cha NRM Rais Yoweri Museveni na baadhi ya maeneo mabango ya mgombea wa FDC Dkt Kizza Besigye.

Wagombea wengine pia wanajikakamua.