Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Museveni ameboresha hali ya afya Uganda?

Wakati kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu zikiendelea nchini Uganda, suala la huduma ya afya linaangaliwa kwa karibu sana.

Baadhi wanahoji, Je serikali imefanya vya kutosha katika miongo kadhaa iliyopita?

Suala hilo linaonekana kuwa na utata mzito kiasi cha waandishi wa BBC kukamatwa walipokuwa wanalifuatilia kwa karibu.

Zuhura Yunus akiwa Kampala anaripoti.