Kizza Besigye
Huwezi kusikiliza tena

Besigye ajipata matatani Uganda

Mgombea mkuu wa upinzani kupitia chama cha Forum for Democratic Change, FDC Dr.Kiiza Besigye alijikuta matatani akiwa katika kampeni zake mjini Kampala baada ya kuzuiliwa na maafisa wa polisi.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus anaeleza zaidi.