Sitawa
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke aliyedhibiti matatizo ya kiakili

Tunaendelea na makala yetu ya afya ambapo leo tunaangazia afya ya akili na ustawi wake, msururu unaoendelea wa makala ya BBC.

Je, utaishije na maradhi ya kiakili? Leo, tunakutana na kijana mmoja mwanamke, anayeishi na ugonjwa wa bi-polar, yaani shinikizo la mawazo na kifafa - na anatuelezea namna ubunifu umemsaidia katika kudhibiti ugonjwa huo.