Asia Khamsin
Huwezi kusikiliza tena

Tasnia ya mitindo na maadili ya Kiafrika

Mitindo ya mavazi inatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine na kuanzia enzi moja hadi nyingine.

La uhakika ni kuwa mabadiliko haya yote yanatokana na ushindani wa wanamitindo katika ubunifu ili watambulike katika fani hiyo sio nchini mwao pekee bali hata kimataifa.

Lakini je, kuna hofu ya kupotoka kwa maadili ya Kiafrika wanamitindo wake wanapojitosa katika jukwaa la kimataifa? Mariam Omar amezungumza na mwanamitindo, Asia Idarus Khamsin, kutoka Tanzania alipotembelea studio zetu London na kwanza amemuuliza iwapo fani hii inatambulika Afrika.