Magufuli
Huwezi kusikiliza tena

Elimu ya bure siku 100 za Magufuli madarakani

Siku 100 za serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais John Magufuli, Unayaona matumaini katika upatikanaji wa huduma za afya na mpango wa elimu ya bure?