Museveni
Huwezi kusikiliza tena

Museveni atetea uchaguzi wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ameshinda uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita amekanusha madai ya upinzani ya kuwepo wizi wa kura na pia kupuuza shutuma za waangalizi wa kimataifa.

Amezungumza na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus katika mahojiano maalum nyumbani kwake Rwakitura Magharibi mwa Uganda, Rais Museveni akianza kwa kuzungumzia kuzuiliwa nyumbani kwa mpinzani wake Dkt Kizza Besigye.