Fifa
Huwezi kusikiliza tena

Nani atamrithi Sepp Blatter FIFA?

Wajumbe kutoka mashirikisho ya soka kote duniani wanakutana leo mjini Zurich kumchagua rais mpya wa shirikisho la soka duniani FIFA.

Bw Blatter aliongoza Fifa kwa takriban miaka 18.