Loza
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke mjasiriamali avumaye kwa mitindo

Loza Maleombho ni mjasiriamali kutoka Ivory Coast ambaye ana kampuni ya kutengeneza mavazi ya mitindo.

Alipata wazo la kuanzisha biashara hiyo akiwa Marekani baada ya kugundua kulikuwa na pengo katika mavazi ambayo yalikuwa yakiuzwa madukani.