Elimu
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto sekta ya elimu DR Congo

Hali ya elimu inazidi kushuka katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Hali hii imedhihirika zaidi katika hatua ya wazazi kuwatafutia watoto wao nafasi katika shule za binafsi na wala si katika zile zinazomilikiwa na serikali kama ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.

Mwandishi wetu wa Mashariki mwa Congo Byobe Malenga, alitembelea kijiji cha Katanga na kuandaa taarifa hii.