Huwezi kusikiliza tena

Je Kahawa ipo katika hatari ya kuangamia?

Kahawa ni kiburudisho maarufu zaidi duniani kote, ima ni Afrika ama Ulaya, lakini sasa mabadiliko ya tabianchi yameanza kuathiri uzalishaji wa kahawa kuanzia taifa linalorodheshwa la kwanza duniani katika ukuzaji wa kiburudisho hilo Brazil hadi Ethiopia ilikogunduliwa karne kadhaa zilizopita.