Mchezaji wa Kenya anayeichezea Southampton nchini Uingereza Victor Wanyama
Huwezi kusikiliza tena

Maisha ya Mkenya katika ligi ya Uingereza

Mchezaji wa kilabu ya Southampton nchini Uingereza,mkenya Victor Wanyama ataendelea kucheza baada ya kuhudumia marufuku ya mechi tano wikendi ijayo na kilabu yake baada ya kupewa kadi nyekundu msimu huu.

Southampton inakabiliana na Liverpool siku ya jumapili.Anasema imekuwa kipindi kirefu tena kigumu kukaa bila kucheza.

Mwandishi wa BBC Peter Musembi alikutana na mchezaji huyo katika uwanja wa Southampton nchini Uingereza na kumuuliza kuhusu maisha yake katika ligi ya Uingereza.