Shein
Huwezi kusikiliza tena

Shein azungumza baada ya kupiga kura Zanzibar

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein amezungumza na wanahabari baada ya kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Kibera kisiwani Unguja.

Mwanzo amezungumzia hatua ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia uchaguzi huo.

Kuhusu amani na utulivu, amesema anaamini kutakuwa na utulivu visiwani.