Uchaguzi Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Maoni ya wakazi kuhusu uchaguzi Zanzibar

Uchaguzi wa marudio ulifanyika visiwani Zanzibar Jumapili tarehe 20 Machi.

Mgombea wa CCM Dkt Ali Mohammed Shein ametangazwa mshindi. Chama kikuu cha upinzani CUF kilisusia uchaguzi huo ambao umekosolewa na mabalozi wa nchi za Magharibi.

Wakazi wa visiwa hivyo walichukulia vipi uchaguzi huo?