Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Upi mustakabali wa Zanzibar baada ya uchaguzi?

Uchaguzi wa marudio Zanzibar ulifanyika Zanzibar na chama kikuu cha upinzani CUF hakikushiriki uchaguzi huo.

Ni upi mustakabali wa siasa visiwani Zanzibar sasa?

BBC imezungumza na mchanganuzi wa masuala ya kisiasa Said Msonga.