Huwezi kusikiliza tena

Hali sio salama Beni-DRC

Hali ya usalama ni tete katika mji wa Beni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Waasi wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la AFD wameshambulia kambi za kijeshi pamoja na kuleta maafa kwa raia wakati wa mkesha wa sikukuu ya Pasaka.

Sikiliza ripoti ya Byobe Malenga kutoka Mashariki mwa Congo.