Simu ya iPhone
Huwezi kusikiliza tena

Je,wanaotumia simu za iPhone wana wasiwasi?

Kufuatia hatua ya shirika la ujasusi la Marekani kufungua simu ya iPhone ya muuaji wa San Bernadinho huko Marekani,je wateja wanaotumia simu hizo wana wasiwasi kuhusu usalama wa simu hizo.Mwanahabari wetu Angela Ng'endo na taarifa kamili.