Haba
Huwezi kusikiliza tena

Matibabu ya bure kwa wazee Tanzania

Serikali ya Tanzania ilitoa maelekezo kupitia sera ya matibabu bure kwa wazee kwamba wazee wa umri wa miaka 60 na zaidi wanatakiwa kupata huduma bure za matibabu katika hospitali zote za serikali.

Je, sera hii ya matibabu bure kwa wazee inatekelezeka?