Kikwete
Huwezi kusikiliza tena

Maisha ya Kikwete baada ya kustaafu

Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete aliondoka madarakani mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuongoza taifa hilo kwa miaka kumi. Je, wajua anafanya nini siku hizi?

Amezungumza na mwandishi wa BBC Tulanana Bohela.