Usonji
Huwezi kusikiliza tena

Uelewa wa usonji nchini Tanzania

Kugongagonga vitu na kuzungumza vitu ambavyo mara nyingi ni vigumu kuvielewa na baadhi ya sifa za watu wenye tatizo la usonji, kwa Kiingereza Autism.

Ukosefu wa uelewa kuhusu tatizo hili huwafanya watu kuwabagua na wazazi wengine hata uuwafungia ndani watoto wao wenye tatizo la usonji ili wasionekane na umma.

Ulimwengu ukiadhimisha siku ya usonji duniani mapema mwezi huu na Mwandishi wa BBC Sammy Awami alizungumza na watu wanaohudumia watu wenye tatizo la usonji.