Sharon
Huwezi kusikiliza tena

Msusi kutoka Zimbabwe afanyaye kazi Afrika Kusini

The Salon ni msururu wa mazungumzo na wanawake kutoka maeneo mbalimbali duniani kuhusu utambulisho na muonekano, katika kiti cha kusukwa nywele.

Katika mtaa wa Honeydew jijini Johannesburg, Sharon kutoka Zimbabwe huwa na biashara ya kusuka wanawake nywele. Hutumia kontena ambalo halitumiki tena.

Mteja wake Zanele ni jirani yake. Raia wa Afrika Kusini hulalamika kwamba raia wa Zimbabwe wanawapokonya nafasi za kazi ambazo zinafaa kuwa zao.