Ndindindi
Huwezi kusikiliza tena

Lady Jay Dee azungumzia Ndi ndi ndi

Baada ya kimya cha muda mwanamuziki Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Lady JayDee, maarufu kama komandoo, amerejea kwa kishindo katika anga ya muziki akiwa na kibao kinachofanya vizuri kinachofahamika kwa jina la Ndi ndi ndi.

Mwandishi wetu Omary Mkambara amezungumza na mwanamuziki huyu na kuanza kuumuliza kwanini amekua kimya kwa muda mrefu.