Japan
Huwezi kusikiliza tena

Video ya uharibifu uliotokana na tetemeko Japan

Ndege isiyo na rubani imepiga video inayoonesha uharibifu uliotokana na mitetemeko miwili ya ardhi iliyokumba kisiwa cha Kyushu, Japan wiki iliyopita.