Khadija Kopa
Huwezi kusikiliza tena

Khadija Kopa: Bendi ndogo zinatuharibia soko

Pwani kuna raha zake na moja kati ya raha za pwani ni muziki wa twarabu,na katika kuangazia uga huo wa burudani za mwambao wa pwani leo mwandishi wetu Omary Mkambara amezungumza na gwiji ,malikia wa twarabu nchi Tanzania Bi Khadija Omary Kopa ambaye anaeleza safari yake kimuziki na kile ambacho anakifanya.