Shakes
Huwezi kusikiliza tena

Vijana Kenya wamkumbuka Shakespeare

Kesho ni miaka 400 tangu kifo cha mshairi na mwandishi msifika wa michezo ya kuigiza William Shakespeare.

Vijana nchini Kenya wana maoni gani kuhusu vitabu vyake?

Mwandishi wa BBC Peter Njoroge amezungumza na baadhi yao.