Nyumba
Huwezi kusikiliza tena

Nyumba za NHC zinamfaa Mtanzania wa kawaida?

Shirika la nyumba la taifa nchini Tanzania (NHC), limepewa jukumu la kujenga nyumba na kupangisha au kuuza nchi humo.

Katika kipindi cha leo cha Haba na Haba tunauliza, Je, mazingira ya upatikanaji wa nyumba za kupanga au kununua za NHC ni rafiki kwa Mtanzania wa kawaida?