Wajir
Huwezi kusikiliza tena

Wakazi wafurahia barabara ya lami Wajir, Kenya

Kenya inaadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ugatuzi katika nchi hiyo.

Mji wa Wajir katika mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya ni moja za sehemu zilizoachwa nyuma kimaendelo na sasa serikali ya jimbo hilo imejenga barabara ya kwanza ya lami katika mji huo.

Barabara hiyo ina urefu wa kilomita 27.

Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alitembelea mjini wa Wajir ameandaa taarifa hii.