SIM
Huwezi kusikiliza tena

Msisimko wa kutuma pesa kwa simu DR Congo

Mambo mengi yamebadilika nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo tangu pale kampuni za simu za mkononi zilipokuanzisha huduma ya wateja kutuma au kupokea fedha zao na pia kufanya shughuli nyingine kupitia simu za mkononi.

Raia wengi mashariki mwa nchi hiyo wameanza kutumia sana huduma hiyo, labda hata zaidi kuliko benki za kawaida.

Mwandishi wa BBC Byobe Malenga alitembelea mji wa Bukavu na kuzungumza na baadhi ya wakazi.