Huwezi kusikiliza tena

Wasanii wawatupia lawama wafanyabiashara

Wasanii wa nyimbo za injili, Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, wamelalamikia wafanyabiashara kuwanyonya kazi zao.

Wamelalamika jinsi wafanyabiashara wanaouza kanda za nyimbo zao, wanavyo filisi kazi zao na kuiomba serikali kuchukua hatua kali dhidi yao.

Sikiliza mahojiano kati ya Bora Asumani mwanamuziki wa Injili mjini Bukavu, Mashariki mwa Congo na Byobe Malenga wa BBC.