Chase
Huwezi kusikiliza tena

Wateja wa Chase Bank wafurahia kufunguliwa kwake

Wateja wengi wa benki ya Chase iliyofunguliwa leo baada ya kufungwa kwa wiki tatu wamefika katika matawi ya benki hiyo kutafuta huduma.

Baadhi wamesema hawaoni haja ya kujiondoa kutoka kwa benki hiyo.