Children
Huwezi kusikiliza tena

Shida zinazowakabili watoto kaskazini mwa Kenya

Shirika la Save the Children, likishirikiana na mashirika ya kutetea haki za watoto nchini kenya, limebaini kwamba asilimia 50 ya watoto kutoka kaskazini mashariki mwa Kenya hawatimizi miaka 5 kutokana na hali za kiafya.

Hata hivyo wasichana katika kauti ya Marsabit walielezea changamoto wanazokumbana nazo kila siku katika jamii zao.

Mwanachama wa bunge la watoto Kenya, Kusha Adan, anaelezea masaibu ambay wasichana.