Huwezi kusikiliza tena

Malalamiko ya wanawake kivuko cha Likoni

Wanawake mjini Mombasa Kenya wamelalamika kunyanyaswa kijinsia wakiwa ndani ya ferry kwenye kivuko cha Likoni.

Wanaume hao wanaowanyanyasa wanawake ndani ya ferry wamebandikwa jina la Marambuza.

Sikiliza ripoti ya John Nene.